Msaada wa kupata hizi nyimbo za miaka ya tisini.

Msaada wa kupata hizi nyimbo za miaka ya tisini.

Ila , muda wa kusoma usiyo ya jua unao eeh? Sasa wewe umekulia kijijini miaka ya 90 labda hata hujui kuvaa viiatu , utajuaje haya? .Kama hata kichwani kwako hakuna chochote cha burudani unacho kijua ,why nikusikilize mtu usiye na social life, je wewe starehe yako ni nini haswa, kununua malaya wa bei poa ?
Mwenzako mwambie mambo ya uchawi atakuambia anamakovu mengi sana...ameshaanguka sana na ungo usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bac umekosea hizo lyrics
Kama GOOGLE haijui
Hapa unasumbua watu tu
Google hata ukikosea zina kuletea suggestions, ila kwa hizo hakuna hata moja ,nimesha jaribu nyingi na zo zijua na nimezipata ila hizi imekua ngumu sana .
 
Back
Top Bottom