msaada wa kupata hati ya nyumba

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
nina nyumba nimejenga maeneo ya kivule bado finishing dogo ndogo nimeishiwa hela namtafuta mtu ama taasisi niweze kupata hati ya umiliki kisha nichukue mkopo benki au niiuze ambapo baada ya hapo tutalipana kwa makubaliano unaweza nicheki pm
 
Back
Top Bottom