Msaada wa kupata game: GTA 5

askarikambi

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
246
263
Mtoto wangu anapenda sana kucheza games mbalimbali, indoor na outdoor. Hizi gta zingine anazo, sasa kila siku anajaribu kudownload gta 5 lkn hafanikiwi.

Hivyo, kwa kifupi natafuta gta 5 mwenye kuweza kuniwezesha kuipata tuwasiliane. Na kama una computer game jingine kwa mtoto umri miaka 8 -9, tuwasiliane.

Naamini games (mpira, n.k na computer games) zinamchangamsha akili mtoto.
 
Duh! Kumbe!

images.jpeg-8.jpg
images.jpeg-7.jpg
 
Back
Top Bottom