MSAADA WA KUPATA FLAT SCREEN NZURI

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,204
3,308
Ndugu wanajamii wenzangu habari ya siku nzima?

Naombeni ushauri wa flat screen ipi nzuri naweza chukua kwa gharama nafuu ambayo haisumbuwi, ninabajeti ya laki tano(500,000) tu.

Natanguliza shukurani na Mungu akubariki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo mmoja naku pm namba yake, huyu dogo anauza vitu bomba sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
chukua TCL 32" smart tv unapata mpya na malailoni yake
Ndugu wanajamii wenzangu habari ya siku nzima?

Naombeni ushauri wa flat screen ipi nzuri naweza chukua kwa gharama nafuu ambayo haisumbuwi, ninabajeti ya laki tano(500,000) tu.

Natanguliza shukurani na Mungu akubariki!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom