multiple choice ni rahisi...?????oma upate knowledge achana na cheti. CISA rahisi sana kupata, maswali yenyewe multiple choices
MKUU HII SENTENCE YAKO YA MWISHO IMENITAFAKALISHA SANA "Ila hivi vitu vinahitaji high level of commitment"Mkuu kwa watu ambao certificatin zao katika security zinakubalika na zina soko nenda Certified Ethical Hacker | InfoSec Cyber Security Certification | EC-Council ungalie course unayotaka. Mfano hiyo ya CEH ili ufanye certification ni lazima ufanye training from certified training institution ambayo kwa hapa bongo unaweza kuwaona Computer learning center (Mart Network Tanzania, Chole road Masaki). Ila hivi vitu vinahitaji high level of commitment, Good luck.
You will also need: (How to become a Certified Ethical Hacker - ASTA Training)MKUU HII SENTENCE YAKO YA MWISHO IMENITAFAKALISHA SANA "Ila hivi vitu vinahitaji high level of commitment"
multiple choice ni rahisi...?????View attachment 1684066
mkuu nimekucheck inbox (pm)CISA iyo nilipata percentile ya juu kuliko 95% ya walio sit. Ni rahisi sana