the ultimatum
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 420
- 143
Kama hujapata msaada hapa muulize yule kijana wa mjini google...
jana nmeidownload kupitia thepiratebay.se iko cracked fresh 2..ila kwa hapo kwny keys EA sport wako so sensitiveNdugu wapendwa siku tatu zilizopita nili download game ya fifa 2014 yenye ukubwa wa GB 6.65.
Game hii inanitaka niweke activation key ili niweze kulitumia.
Nilifanya jitihada ya kutafuta keys katika tovuti ya allgamehacksnew.blogspot.com, site ambayo huwa inatoa fursa ya kupata activation keys za kila aina ya game. Nilipojaribu ku download key katika hiyo site sikufanikiwa.
Narudi kwenu ndugu mnipe msaada.
Ahsanteni sana.
jana nmeidownload kupitia thepiratebay.se iko cracked fresh 2..ila kwa hapo kwny keys EA sport wako so sensitive
ulitakiwa udownload ambayo imekuwa cracked by"nonsTEAM" mimi kwangu inaplay bila matatizo yoyote
ulitakiwa udownload ambayo imekuwa cracked by"nonsTEAM" mimi kwangu inaplay bila matatizo yoyote
uwezo kivipi? km ni size ina 6.33gb au nieleweshe....
uwezo kivipi? km ni size ina 6.33gb au nieleweshe....
Mkuu hata mm nmeDownload nosTEAM.sasa zile patch itabidi uendelee kuzidownload continuously. Mbona nlikua na fifa 13 na lilikua haliitaji kuUpdate patch.naomba msaada apoulitakiwa udownload ambayo imekuwa cracked by"nonsTEAM" mimi kwangu inaplay bila matatizo yoyote