Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,443
- 46,201
Wakuu poleni sana kwa Mvua,nina Desktop yangu aina ya Apple iMac Power Supply yake imekufa,AC INPUT yake ni 100-240v, 50-60Hz 3.5A na TOTAL 180w MAX. Na pia iMac hii hii niliingiza wrong Password ikajifunga so ilikuwa inawaka tuu,nilijaribu kuuliza kwa Watu wakaniambia kuwa itabidi nibadili Window,sasa naomba mwenye huo utaalamu anisaidie kwa kuni PM au hapa hapa jamvini.Asanteni!