mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 434
Nahitaji video camera sony dsr-pd 175 au 177 ambazo ni mpya. Hata kama kuna pd 170 twaweza zungumza. Tafadhali kama kuna mtu anauza awasiliane na mimi. Ama kama kuna mtu ana njia ya kuniagizia tuwasiliane ingawa sipendi kwa kuogopa kutapeliwa.