Msaada wa kununua simu

Msaada wa kununua simu

s6 ni nzuri kwa budget hio, ila kama hujali muonekano wa nje by far s6 active ni simu bora zaidi.
samsung-galaxy-s6-active-r-1.jpg

pia kama unajali sana battery life angalia A series za mwaka 2017 simu kama A5 2017. na pia J series za 2017 simu kama j7 ya 2017.
 
Poa mkuu nashukuru kwa msaada wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s6 ni nzuri kwa budget hio, ila kama hujali muonekano wa nje by far s6 active ni simu bora zaidi.
samsung-galaxy-s6-active-r-1.jpg

pia kama unajali sana battery life angalia A series za mwaka 2017 simu kama A5 2017. na pia J series za 2017 simu kama j7 ya 2017.
Sasa chief kuna mtu alinishaurii nichukua A7 ya mwaka 2016 unaionaje hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania, ni kosa la jinai kusema ukweli. Bila shaka ungekua na mamlaka, ungeniita mchochezi
Aaah hapana aiseee wakikuita mchochezi watakua wamekuonea.
We sio mchochezi, wewe ni mtumia Vodafone za promotion zile za 75'000/-, maana hata kukuweka kwenye kundi la Tecno napo ni kukuonea mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s6 ni nzuri kwa budget hio, ila kama hujali muonekano wa nje by far s6 active ni simu bora zaidi.
samsung-galaxy-s6-active-r-1.jpg

pia kama unajali sana battery life angalia A series za mwaka 2017 simu kama A5 2017. na pia J series za 2017 simu kama j7 ya 2017.
Mkuu hapo ni ikiwa na cover lake? au ndivyo simu ilivyo yenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa chief kuna mtu alinishaurii nichukua A7 ya mwaka 2016 unaionaje hii

Sent using Jamii Forums mobile app
sio mbaya mkuu, imepitwa na kina s6 kwenye ubora wa kioo, nguvu ya simu ila yenyewe inakaa zaidi na chaji na pia si rahisi kupata moto sana.

ila nakushauri tafuta za 2017 kwanza ukikosa ndio uhangaike na 2016 sababu za 2017 wame improve kila kitu.
 
Asante chief kwa msaada wako nadhani nitaichukua hiyo j7 2017 si iko poa hiyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom