Msaada wa kununua gari

Msaada wa kununua gari

nkisumuno

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
208
Reaction score
72
Nina sh 6000000 nataka kununua gari ni gari gani nzuri kwa maana ya ulaji wa mafuta, inayoweza kustahimili maeneo mbalimbali ya tanzania naomba ushauri wenu wana jf sio muanze kunitukana maana siku hizjf mmm!
 
Chukua starlet mzee. Sababu za msingi 1. It can accomodate your cash 2. Durable 3. Economy 4. Easy to run. Kwa pesa uliyonayo utapata starlet mpya I.e used japanese, ukiforce kununua gari kubwa zaidi utajikuta unachukua gari used tanzanian. Na ukishanunua tu gari kwa mtu I.e wa hapa tz, ujue utakua best frend wa mafundi wote. Huo ni ushauri wangu tuu kk
 
Njo nikuuzie corona premio INA speed 260 ,haili mafuta ,kwa mwendo kiboko ,mm nicngeuza lkn nahiyaji kununua Prado kwa ajili ya familia
 
Ti hiyooo
 
Attachments

  • 1388164969941.jpg
    1388164969941.jpg
    116.3 KB · Views: 460
Nina sh 6000000 nataka kununua gari ni gari gani nzuri kwa maana ya ulaji wa mafuta, inayoweza kustahimili maeneo mbalimbali ya tanzania naomba ushauri wenu wana jf sio muanze kunitukana maana siku hizjf mmm!

Mwenyewe ushajua kwamba unaleta utani,gari zuri kwa 6m? Onana na Chris Lukosi atakusaidia amesema magari UK ni 3m.
 
Last edited by a moderator:
Nina sh 6000000 nataka kununua gari ni gari gani nzuri kwa maana ya ulaji wa mafuta, inayoweza kustahimili maeneo mbalimbali ya tanzania naomba ushauri wenu wana jf sio muanze kunitukana maana siku hizjf mmm!

Panda bei kidogo nikuuzie yangu
 
wewe unahela ya pkpk unataka kununua gari zuri isiyokula mafuta huoni unaleta utani wakwetu
 
Mwenyewe ushajua kwamba unaleta utani,gari zuri kwa 6m? Onana na Chris Lukosi atakusaidia amesema magari UK ni 3m.
Kama huyo ni mfanyakazi wa serikalini hiyo hela ni nyingio sana kwani atapata kitu swafi kwa bei nafuu
Nissan xtrail ya 2004 unapata kwa £1,200 na freight ni £800 jumla ni £2000 sawa na 5m zilizobaki analipia port charges gari iko nje ,

MTUMISHI WA SERIKALI HALIPI USHURU
 
Mkuu ingekuwa rahisi kama ulivyoandika hapa kila mtu hapa mjini angesukuma ndinga. Aliyekuambia mtumishi wa serikali halipi ushuru ni nani?
 
Back
Top Bottom