Msaada wa kununua Digital Camera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kununua Digital Camera

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mbavu za Mbwa, Aug 21, 2012.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu, nina mpango wa kununua digital camera nzuri na ya kisasa ambayo itakuwa na ufanisi wa hali ya juu. Ninachoomba kutoka kwenu, mnisaidie kamera ipi ni nzuri na inauzwa bei gani? ili nikienda Dar es salaam au mji wowote mkubwa, niweze kuinunua. Huku kwetu Mpanda hakuna maduka yenye bidhaa hizo.

  Wasalaam!
   
 2. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  kuna Samsung ina dual screen ie front lcd for self shot pics and normal screen,nzuri kuanzia 14.2 megapixels x5 yaani ni nzuri sana for personal uses na bei zake huanzia 280,000/= kutegemea na duka maana kuna mengiune hadi laki 3 ila kuwa makini na counterfeit maana kuna zingine kaama nilizokuamnbia ila ni fake so ni very poor in terms of resoluton na definition
   
 3. e

  elmazrouy Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama budget yako ni nzuri nunua samsung galaxy S3 ni zaidi ya camera na kamwe hutojutia ununuzi wako
   
 4. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kwa inshu ya kamera hakuna cha samsung wala nini hapo tafuta sony au canon tu ingawa bei zipo juu lakin ndo'kila kitu kuhusu cams kama vp tafuta sony wsc 620 ina zoom5x 14.1mp ,28 angle, 720 vdeo shoot p iko pouwa sana na mendinneyo mengi ila unaweza chagua mwenyewe sony au canon hizi no bomba zaid kuliko hizo samsung
   
 5. Jiang Yang

  Jiang Yang Senior Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwa hapa bongo sh. Ngap?
   
 6. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  1.2mln
   
 7. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Duh. Hyo mbona ni cmu,... Jamaa kasema camera... Na bas kama cmu yenye camera nzur bas itakua ni nokia pureview yenye 41 megapixels hapo hata hzo digital kmeo i
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo kila member kataja bidhaa yake tofauti!
  Nadhani mleta mada amezidi kuchanganyikiwa!
   
 9. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kizuri ambacho unaweza kufanya ni kujua viwango na vipimo vya function za cam unayoitaka na unapokuwa dukani unaweza kuomba manual na maelezo machache ya wauzaji kama ni wajuzi wa hilo wanaweza kukusaidia.

  Pia kwa wauzaji wa bidhaa halisi (original) kama unapendelea brand fulani kama walivyosema wadau hapo juu either sony,samsung, canon, olimpio etc itakuwa rahisi kupata machine nzuri unayoihitaji.

  Naamini kama unachohitaji ni kwa matumizi ya kifamilia bajeti ya 500,000 itakuweka kwenye uchaguzi mzuri wa cam unayoitaka.
   
 10. leh

  leh JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kama unataka camera ya kufanya professional photography, tafutana na a single lens reflex camera (SLR). SLR cameras hutumia kioo (yes kioo) ili uone picha directly inavyotoka kwa lens na sio view finder (kile kipart cha kuchungulia) so picha unavyo iona ndivo inatoka. pia SLR cameras huwa na a less shutter lag (yaani unavyo click ndivyo inapiga tofauti na camera za kaaida zina take seconds to respond). every serious photographer duniani anatumia an SLR camera
  na maendeleo ya dunia, kuna digital SLRs, au DSLR. zipo chache duniani as kampuni nyingi hazitengenezi ila ukitafuta utapata ya sony, canon, nikon au samsung.
  bei sasa.. sijui kwa sasa utapata kwa shilingi ngapi coz na siku nyingi sijacheck madukani ila from personal experience, be ready to cough up some mulla :bigggrin:
  nina Sony α 100 ambayo nilinunua kutoka kwa machalii hapa atown for kama laki nne ila sio kali kama sony NEX-7 ambayo niliachiwa na mzungu mmoja last year for about 700$
  nilishaulizia hiyo Sony α 100 kwa duka la benson (biggest technology related goods shop in arusha) na alitaka 1m for one so ndo hivo kuhusu prices. lakini kama nilivosema before, kama unachukulia photography seriously na sio a past time hobby, lazima uwe na an SLR. utajua ni SLR camera or not kwa lens ilivyo. hebu nitafute picha ni upload uone zilivo, probably utakuwa umeziona around
  [​IMG]
  kama unavyo ona kwenye hio picha, hio lens yake inatolewa na kubadilishwa na lens nyingine na utakuta some photographers call them interchangeable lens camera ila sio jina lake halisi. kama utaonelea utafute a DSLR, itakubidi ujifunze kiasi kuhusu exposure, white balance, focus na vingineo lakini mwisho wa siku it'll be worth it
  good luck leh
  [​IMG]
   
 11. e

  elmazrouy Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu yangu najuwa hio kama ni simu, lakini ni zaidi ya simu. Camera yake ni nzuri sana kiasi ya kwanga mimi binafsi nimeuza camera yangu na kununua hio simu. Kwa maisha ya sasa watu wanapenda zaidi devices ambazo ni multitasks. Na ulikuwa ni mtazamo tu,bado mleta mada ana machaguo mengi.
   
 12. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Thats y nkasema kama ndo hvo bora nokia 808 pureview yenye 41 megapixels hapo hakuna wa kumshika
   
 13. e

  elmazrouy Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  , Hamna neno tena hapo itategemea uwezo wake, kile anachokipenda yeye. Ubaya wa teknolojia hizi kila siku hutokezea zaidi ya ulichonacho sasa.
   
 14. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu kumbe na kamera umo! Umenimaliza!Hv umeshaiskia Canon eos 1D X? Soma review zake, utawehuka. Mkakati wangu ni kusaka 5D Mark 3.
   
 15. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nimevutiwa na michango yenu! nataka kuwa blogger(kumiliki blog). kamera aina gani itanifaa kwa ajili ya shughuli hiyo?
   
Loading...