Sista Sophia
Member
- Feb 6, 2010
- 50
- 26
Nipo vacation nchi ya watu marekani, nataka kununua tablet ila nina mashaka kama zitafanya kazi vizuri bongo.
Kwa wajuzi wa mambo, nahitaji kujua ninunue tablet gani ambayo nitatumia bongo vizuri?
Je kwenye tablet nako kuna locked na unlocked? Je nikichukua locked from at&t au t-mobile zitakuwa poa kwa bongo?
Help!!!