Msaada wa kumpata astronaunt kwa hapa Tanzania

Mazugwa

Member
Apr 19, 2013
63
61
Habarini wana Jf mimi ni kijana ambae navutiwa saana na cosmology pamoja na astrophysics japokua nna carier nyingine(medical).Nahitaji msaada wa kuwapata wataalamu wa fani hizo nataka kupata muongozo wa baadhi ya vitu kwan mpaka sasa nimepitia theory nyingi pamoja na vitu vingi vya aina hiyo lakin kuna vitu vina nitatiza kwa hyo naimani kwa pamoja we can
 
Mbona hivyo vitu hujaviweka hapa tuviongelee manake inawezekana tupo wengi tumesomea mambo mengine lakini huko tuna personal interest kama mimi. I keep reading a lot about cosmology and discoveries from physicist works
 
Ni kuhusu big bang theory ya Albert einstain

asante mkuu
Kumbe ulikuwa unataka kujua mambo ya anga, sasa nimeshangaa kuona unataka kumjua mwanaanga(watu wanaoenda angani) hapa tz ndio maana nikashangaa kama TZ kuna watu wa namba hiyo.
 
Halafu zingine bing bang si ya Albert Einstein Bali ni mtu mwingine sema alitumia nadharia ya Einstein kuelezea hiyo nadharia ya bing bang.
 
Nasoma anga kwa sasa japokua natumia online tutorials so nahitaji practicals ndo maana nikawa natafuta wazoefu kama wapo ili kama kunauwezekano wa kupata vifaa maalumu na wanishaur pakuvipata
 
Halafu zingine bing bang si ya Albert Einstein Bali ni mtu mwingine sema alitumia nadharia ya Einstein kuelezea hiyo nadharia ya bing bang.
N

Sawa me nmesoma kitabu kimoja kilichoelezea big bang theory kimeelezea vitu alivyoongelea albert kuhusu hiyo theory,Ningependa kufahamu jina la huyo Mtu ili niangalie anachozungumzia na yeye
 
Georges Lemaître,
 
Bro, anyone from anywhere can be an astronaut provided unavigezo vinavyohitajika. Kuna namna unafanya application NASA ikitokea fursa ya kwenda on a misaion kwenye International Space Station, lakini wanao apply ni wengi na mchujo unakua very tight.
 
Nimefatilia hiyo lakin nimekosa vigezo viwili moja ni kwamba wamesema lazima uwe na uraia wa marekani na pia sina bachelor degree as kwa sasa nipo 4th yr Hubert kairuki na nna maliza mwaka ujao yaani 2018.Kimsingi natumia tutor zao ambazo huwa wanapost kila siku kwenye email kusoma baadhi ya vitu ambavyo nakua nahitaji lakini pia najiamini kwenye theories kuhusu hayo mambo ikiwemo pia mathematics
 
Back
Top Bottom