Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,734
- 51,274
Habari za wakati huu great thinkers..kama ambavyo kichwa cha habar kinajieleza hapo juu..nimekuwa nikisia sikia maneno mengi watu wakimuongelea faru John.huyu faru John ni nani?nini kilimkuta??na kwanini aongelewe yeye tu??ana umuhimu gani??naomba kuwasilisha