Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Naombeni msaada natumia hp notebook 15 generation ya 6 je na weza kujua kama laptop yangu ina sim card slot au haina?
Angalia pemben ya laptop au kma inatoka betri toa uone kma ina slot. Usipoiona basi haina. Hata kma ukiiona sio guaranteed kama itasoma line. Sabab zingine zinakua zimetolewa card ya mobile broadband (WWAN card) so slot haifanyi kaziNaombeni msaada natumia hp notebook 15 generation ya 6 je na weza kujua kama laptop yangu ina sim card slot au haina??
Asantd sana kwa msaada nimekuelewa sanaa tuuAngalia pemben ya laptop au kma inatoka betri toa uone kma ina slot. Usipoiona basi haina. Hata kma ukiiona sio guaranteed kama itasoma line. Sabab zingine zinakua zimetolewa card ya mobile broadband (WWAN card) so slot haifanyi kazi
,Angalia pemben ya laptop au kma inatoka betri toa uone kma ina slot. Usipoiona basi haina. Hata kma ukiiona sio guaranteed kama itasoma line. Sabab zingine zinakua zimetolewa card ya mobile broadband (WWAN card) so slot haifanyi kazi
Wauzaji wa modemnani anazitoa,ykwangu kuna slot lakini wwna hakuna
,