hii hapa link mkuu Eazzy Banking - Android Apps on Google PlayHabari wajuzi wa mambo, wakuu nipashwa kuipata eazzy 247 Tanzania app ya equity bank kila nikiitafuta play store siioni.
Shukrani Mkuu ngoja nilink card yangu .Ulivyo malizia hapo chini ..........hii hapa link mkuu Eazzy Banking - Android Apps on Google Play
bonge la app una uwezo kufanya hata TISS
hahahaa powa ukikwama kujiunga utanicheki mkuu nikusaidideShukrani Mkuu ngoja nilink card yangu .Ulivyo malizia hapo chini ..........
hahahaa powa ukikwama kujiunga utanicheki mkuu nikusaidide
HIYO UNISTAL THEN SEARCH EAZZY BANKING APP INAMUONE KANO KAMA HUU UKIFANIKIWA INSTALL THEN UTANIAMBIAMkuu mi nina siku tatu sasa ina nigomea kujiunga,ina niambia niende ktkt tawi lolote kwa msaada zaidi,msaada pls,kwani nipo mbali nahitaji hii huduma![]()
HIYO UNISTAL THEN SEARCH EAZZY BANKING APP INAMUONE KANO KAMA HUU UKIFANIKIWA INSTALL THEN UTANIAMBIA![]()
Mkuu hivi mtu anaweza kuwa nje akakuhamishia ela toka kwenye visa kafi kuja kwenye visa card yako kwa wewe kumpatia zile taraku 12 tuHIYO UNISTAL THEN SEARCH EAZZY BANKING APP INAMUONE KANO KAMA HUU UKIFANIKIWA INSTALL THEN UTANIAMBIA![]()
mkuu upo mkoa gani maana hapa bado cjaelewa issue yako zaidi..![]()
![]()
Ndiyo hiyo hiyo nayo tumia mkuu, sa sijui nakosea wapi
kwa kadi tu haiwezekani mkuu ila cha msingi umpatie acc number na swift code.Mkuu hivi mtu anaweza kuwa nje akakuhamishia ela toka kwenye visa kafi kuja kwenye visa card yako kwa wewe kumpatia zile taraku 12 tu
Hiyo ya acc namba na swift code naijua najiuliza kuna hizi card wanazitoa banc ABC ambazo ni visa hazina acc unaweka ela kuptia tigo pesa au mpesa na unaweza itoa via atm yoyote nlihisi labda huenda mtu ukimpa tarakimu 12 anaweza hamisha ela nlisoma kitu kama hicho mtandaoni sema nlitaka kuwa na uhakikakwa kadi tu haiwezekani mkuu ila cha msingi umpatie acc number na swift code.
mkuu upo mkoa gani maana hapa bado cjaelewa issue yako zaidi..
Huwezi tumia kwani ni lazima line iliyosajili iwe ndani ya simu husika.Nipo nje ya TZ, juzi kati nilipokea msm kutoka equit,ktk namba yangu tz ambayo nimeisajili hapo bank,kuhusu hiyo app, nika install ila ndio hivyo imenigomea
Huwezi tumia kwani ni lazima line iliyosajili iwe ndani ya simu husika.
Ulisajili simbanking?
Kama simu yako ni double line make sure only registered simbanking line ndio iko inserted na pia uwe na internet connectionNatumia roaming mkuu, ndio maana nilipokea sms.na pia natumia simbanking