Msaada wa kufuta account yangu ya Facebook

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Jan 29, 2018
1,204
885
Msaada account yangu ya Facebook niliiondolea email na namba ya simu nikitaka kuifuta haikubali, au kufuta picha hazifutiki nikitaka kuilogin holla hata nikitaka kuweka namba au emails haikubali .
Mwenye lakunisaidia tafadhali
 
ulitaka kufuta picha hazifutiki, ukitaka Ku log in holla! sasa mkuu utafutaje picha zako kama huja'log in?
 
kwanza fb hawana option ya mtumiaji kufuta ac, maybe kama unataka kui Deactivate hapo sawa
 
Msaada account yangu ya Facebook niliiondolea email na namba ya simu nikitaka kuifuta haikubali, au kufuta picha hazifutiki nikitaka kuilogin holla hata nikitaka kuweka namba au emails haikubali .
Mwenye lakunisaidia tafadhali
Kama uliondoa namba ya simu na e-mail means huna access na acc yako. Unaweaje ku- log in?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom