Hutajibiwa hadi ujieleze vizuriHabar wakuu,naomben msaada wenu..nina huawei yangu hapa,,ambayo ni laini mbili ila upande wa net inatumia tigo pekee.naombeni msaada kama kuna uwezekano wa kuifanya itumie lain zote mbili kwa upande wa net...
Natanguliza shukrani!
Simu yake haina tatizo kwahiyo siyo ya kuflash yeye anata ku unlock ili atumie mitandao yote"Kaiflashi" lakini ni makosa kisheria.
safi sanaMimi nitamfungulia NJIA....utatumia line zote bila tatizo..
Nisaidie mkuuMkuu hizo huawei zinasumbua kweli yaani SIM 1 ndio huwa inakubali data ya 3G na SIM 2 huwa ni 2G network...Kama ni zile za promosheni za tigo nenda kaiunlock iwe inatumia line yoyote kwa maana muda mwingine Tigo speed yao ya kobe