Msaada wa Kufungua Zip File Unahitajika.

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,869
Nina shida sana na Nitro PDF,nilifanikiwa kudownload file lenye program hiyo kutoka Media fire ambapo niliunganishwa na website hii www.kimsoftwarecrack.com/. File hilo lipo compressed na zip. Nimeshindwa kulifungua kwani inahitajika password ambayo nimeambiwa nitaipata kwenye website moja hivi ambayo nimegoogle na haipatikani. Nahitaji msaada tafadhali.
 
achana nalo hilo, unaweza kuipata hiyo nitro sehemu nyingine bure na fasta tu. Hao wamelifunga ili wakuuzie password.
 
Back
Top Bottom