Msaada wa kufungua Paypal account

Msaada wa kufungua Paypal account

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Nahitaji kufungua pay pal account nina Mastercard ya NMB kuna mtu aliniambia natakiwa niunganishe kwanza Mastercard na internet sijui hapo ndio kaniacha na yeye ananipa maelezo ya kukisia.

Naomba msaada mwenye kujua hatu kwa hatu hadi mwisho ili nifungue pay pal maana nilifungua pay pal kwa kutumia Vodacom niliweka elfu 8 yangu walichukua na hwajanipa code wanasema Mastercard yangu invalid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua zile zile ulizotumia kwa vodacom ndo hizo hizo kwa mastercard japo sina uhakika kama card yako ya NMB imewezeshwa.
 
Back
Top Bottom