M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,897 Reaction score 4,660 Jul 2, 2025 #1 Habar wakuu natafuta kampuni au mafundi wazur wakufunga na kutengeneza fremless glass door katika ofisi zangu ziwe namuoneka mzuri wakisasa,material yatakayitumika yawe imara Attachments Screenshot_2025-07-02-16-07-17-701_com.instagram.android.jpg 177.1 KB · Views: 22
Habar wakuu natafuta kampuni au mafundi wazur wakufunga na kutengeneza fremless glass door katika ofisi zangu ziwe namuoneka mzuri wakisasa,material yatakayitumika yawe imara