Msaada wa kufika ofisi za UNESCO Dar

Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
646
415
Wadau nataka kwenda ofisi za UNESCO za Dar es salaam lkn sijui ntafikaje.Wanasema wapo Kinondoni mtaa wa Mafinga(off Kinondoni road)

Ntatokea ubungo naomba mwenye kuelewa vizuri anielekeze nipande magari yapi na niteremkie kituo gani?
 
Wadau nataka kwenda ofisi za UNESCO za Dar es salaam lkn sijui ntafikaje.Wanasema wapo Kinondoni mtaa wa Mafinga(off Kinondonu road)
Ntatokea ubungo naomba mwenye kuelewa vzri anielekeze nipande magari yapi na niteremkie kituo gani

panda magari y mwenge, ukifika mwenge panda magari y posta unashuka darajani, ukishashuka darajani unakua unarudi nyuma kwenye mataa, stanbic bank, ingia kushoto kwako barabara kama unaelekea kinondon, ukitembea kidogo utaona bango lao upande wa kushoto kwako. au ukifika mataa pale ulizia utaonyeshwa ...........
 
ahsante sana.
 
Uyo jamaa kakupoteza mazima...alafu unasema asante.

we nawe unataka ligi!" ulishanisababshia ban .......... ungemwelewesha basi uko unapojua ww, mi nimemwelekeza coz nilishapeleka barua pale.
 
Back
Top Bottom