Msaada wa kufika Bumbuli COTCS Tanga

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Mimi ni mkazi wa Morogoro, Kilosa naomba msaada wa kufika Bumbuli COTCS TANGA (maelezo tu je kuna gari la moja kwa moja kutoka Msamvu hadi Bumbuli? Kama hapana je nishukie wapi ili iwe rahisi kufika bumbuli tanga )

NAOMBA MNISAIDIE HAYO TU. KAMA KUNA MTU NAYE AMECHAGULIWA HUKU NAOMBA TUFAHAMIANE ASANTE SANAA
 
Mimi ni mkazi wa morogoro,kilosa naomba msaada wa kufika bumbuli COTCS TANGA(maelezo tu je kuna gari la moja kwa moja kutoka msamvu hadi bumbuli?? Kama hapana je nishukie wapi ili iwe rahisi kufika bumbuli tanga ) NAOMBA MNISAIDIE HAYO TU. KAMA KUNA MTU NAYE AMECHAGULIWA HUKU NAOMBA TUFAHAMIANE ASANTE SANAA
Sidhan kama zipo gari za moja kwa moja kutoka morogoro

Ila uliza kama kuna gari za moro hadi lushoto kama zipo panda hizo then utashuka sehem inaitwa soni ambapo utaulizia utaelekezwa gari zinazofika mpaka bumbuli ukifika hapo bumbuli stand unachukua boda boda unamwambia akupeleke chuo nauli ya boda ni buku wasije wakakupiga

Kama moro hakuta kuwa na gari za moja kwa moja panda gari za moro zinazoenda hata moshi ushuke korogwe korogwe ndo center ya magar mengi yaendayo lushoto so ukifika korogwe stand utapanda gari za lushoto then utashuka sehemu inaitwa soni utaulizia stand ya magari yaendayo bumbuli utapanda ukifika bumbuli stand utachukua boda mwambie unaenda chuo watakupeleka nauli ni buku

Kipind nipo bumbuli gari zilizokuwa zinatoka soni kwenda huko zilikuwa Noah so ukizikuta hata usiogope ndo usafir wenyew jiandae kunabarid sana ila ni sehem nzuri sana hutajutia
 
Asante sanaa kwa mzunguruko huu nitaweza kufika ndani ya siku moja kweli??? Au nijiandae kulala njian

Its possible kwa siku moja ila utafika usiku

But inategemea na muda utakaotoka huko ila ukiona vip unaeza kujipanga ukasafir mpaka korogwe then kesho yake unaanza safar asubuh kuelekea soni na utafika muda mzuri tu

Kwakuwa utakuwa mgeni ningeshauri uje utulie korogwe then siku ifuatayo ndo uondoke mapema kuelekea huko coz hali ya hewa pia sio rafiki so ukisema ufike usiku kule na ww ni mgen utapata tabu
 
Mimi ni mkazi wa morogoro,kilosa naomba msaada wa kufika bumbuli COTCS TANGA(maelezo tu je kuna gari la moja kwa moja kutoka msamvu hadi bumbuli?? Kama hapana je nishukie wapi ili iwe rahisi kufika bumbuli tanga ) NAOMBA MNISAIDIE HAYO TU. KAMA KUNA MTU NAYE AMECHAGULIWA HUKU NAOMBA TUFAHAMIANE ASANTE SANAA
Kama mdau alivokushauri mdau!
Mpaka sasa hamna gari ya Morogoro-Bumbuli!

Ulizia Gari za kuja Lushoto ambazo zinafika Soni ambako utashuka na kupanda Noah kuja Bumbuli!

Kama gari za kuja Lushoto hakuna fata haya maelezo!

Gari zinazofika Bumbuli moja kwa Moja zinatokea Dar e.g Mlola Express ndo gari maarufu na ya kila siku...Kutoka Dar linafika Korogwe around saa sita kamili mchana!

Na pia Gari zinazoenda Lushoto mjini kutokea Dar zinafika Korogwe around mida hiyo hapo!

Baada ya Korogwe kuna Centre nyingine inaitwa Mombo!
Na hapa zinapita baadhi ya gari zinazoenda Moshi mjini na huko Kenya!
Kutoka Dar saa kumi na mbili Mombo unaweza fika approximately saa saba mchana!

Hivo hapo Morogoro stend uliza gari zinazoenda Moshi,Arusha na Kenya kama wanapita Kituo cha Mombo!

Ukifanikiwa kufika Mombo hapa unasubiri magari yanayoenda Lushoto na kuna hadi Mini Bus zinatokea Tanga mjini!

Hivo utatokea Mombo kufika Soni na hapo soni utachukua Noah za kuja Bumbuli!

Jitaidi ufike Soni kabla ya saa moja jioni maana hapo ukifika jioni sana kuna uwezekano ukaenda Bumbuli kwa 9,000/= kutumia Bodaboda au ukajikuta unalala hapo!

Kutoka Dar kufika Bumbuli ni Masaa 08 mpaka 09 hivo,hii safari ni ya siku moja!
 
Kutoka Hapo Msamvu Kuna Gari Moja Tu Inayofika Lushoto Mjini Nayo Inaitwa Vuga Line, Panda Na Ufuate Maelekezo Walokuambia Wadau.
 
Kama mdau alivokushauri mdau!
Mpaka sasa hamna gari ya Morogoro-Bumbuli!

Ulizia Gari za kuja Lushoto ambazo zinafika Soni ambako utashuka na kupanda Noah kuja Bumbuli!

Kama gari za kuja Lushoto hakuna fata haya maelezo!

Gari zinazofika Bumbuli moja kwa Moja zinatokea Dar e.g Mlola Express ndo gari maarufu na ya kila siku...Kutoka Dar linafika Korogwe around saa sita kamili mchana!

Na pia Gari zinazoenda Lushoto mjini kutokea Dar zinafika Korogwe around mida hiyo hapo!

Baada ya Korogwe kuna Centre nyingine inaitwa Mombo!
Na hapa zinapita baadhi ya gari zinazoenda Moshi mjini na huko Kenya!
Kutoka Dar saa kumi na mbili Mombo unaweza fika approximately saa saba mchana!

Hivo hapo Morogoro stend uliza gari zinazoenda Moshi,Arusha na Kenya kama wanapita Kituo cha Mombo!

Ukifanikiwa kufika Mombo hapa unasubiri magari yanayoenda Lushoto na kuna hadi Mini Bus zinatokea Tanga mjini!

Hivo utatokea Mombo kufika Soni na hapo soni utachukua Noah za kuja Bumbuli!

Jitaidi ufike Soni kabla ya saa moja jioni maana hapo ukifika jioni sana kuna uwezekano ukaenda Bumbuli kwa 9,000/= kutumia Bodaboda au ukajikuta unalala hapo!

Kutoka Dar kufika Bumbuli ni Masaa 08 mpaka 09 hivo,hii safari ni ya siku moja!
Ubaya ni mmoja mm msamvu nitafika mida ya kama ya saa 3 hv ndio nitafika hapo
 
utakuja na magari ya kuunga unga zaid basi...Fatilia hayo magari ya Moshi!
Mana kwa hilo gari la lushoto ungeweza tumia magari mawili tu!
Ila kwa nionavyo utashuka Mombo then Mombo to Soni then Bumbuli
 
Back
Top Bottom