Msaada wa kufahamu cut off points

Msaada wa kufahamu cut off points

Zehoes

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
512
Reaction score
352
Wasalaam wakuu... kwanza hongeleni kwa vijana wa kidato cha sita waliofaulu.. pia poleni kwa wale tulioshindwa kufanya vema kwenye matokeo lakini kumbuka kufeli mtihani siyo kufeli maisha

Turudi kwenye maada tajwa hapo juu

Nahitaji kufahamu namna ya kukokotoa hizi cut off points kwenye vyuo...

Kwa mfano hapo
afaf12b2aa6675280a9e098e76501fdc.jpg

unachukua principle pass za masomo yote matatu? Ama mawili pekee?

Kama ni mawili unazingatia ufaulu wa somo? ama unazingatia nini hasa?

Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu wakuu...
 
Namna ya kukokotoa Cut off Points inategemeana na Chuo husika na kozi husika Mfano baadhi ya Vyuo Km UDSM kwa art clursei huwa wanachukua Three subjects kwa Science courses huwa wanachukua 2 subjects sina uhakika na uzoefu kwa Medicine wanakokotoa VP....
Total cut off points out of Three or Two subjects wanakokotoa kwa kufuata thamani ya Principal km ifuatavyo A-5 B-4 C-3 D-4 E-1 S-0.5 Na F-0

KIMEO CHANGU
 
hapo ni masomo matatu
kuhesabu wanafanya namna hii
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5
kwahiyo hapo ukichukua alama uliyopata ukasum zote tatu ukiacha BAM na GS utapata point zako
kumbuka hata kama utakuwa na point nying ila huna atleast D mbil maana yake tayar huna sifa
kwa mfanao mtu mwenye AEE maana yake ana 5+0.5+0.5=6 lakini hana sifa za kujiunga na chuo kikuu maana hana atleast D mbili
 
Asanteh... kwa mfano hapo juu ni cut off point za MUHAS... swali... je Wamechuku masomo yote matatu ama wamechukua mawili?
 
hapo ni masomo matatu
kuhesabu wanafanya namna hii
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5
kwahiyo hapo ukichukua alama uliyopata ukasum zote tatu ukiacha BAM na GS utapata point zako
kumbuka hata kama utakuwa na point nying ila huna atleast D mbil maana yake tayar huna sifa
kwa mfanao mtu mwenye AEE maana yake ana 5+0.5+0.5=6 lakini hana sifa za kujiunga na chuo kikuu maana hana atleast D mbili
asanteh.... maana yake mwenyewe CCC anakuwa na cut off point 9...

Hivyo mtu huyo anaweza soma course yenye uhitaji wa points nane?...
 
Jamani ni na mdogo wangu ana E ..zote PCM ...vipi degre anasoma au diploma

Post sent using JamiiForums mobile app
 
E ina point moja kwa hiyo E Mbili inakuwa points 2
ili udahiliwe chuo kikuu ni lazima angalau uwe na point 4 kwenye masomo mawili
 
Unamaanisha nini sasa mkuuu

Post sent using JamiiForums mobile app
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1

Unatakiwa utafute masomo mawili kwenye combination yako ambayo utaundia cutt off points
sasa rudi kwenye maelezo yangu ya mwanzo
 
Hivi point 3 naweza pata chuo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1

Unatakiwa utafute masomo mawili kwenye combination yako ambayo utaundia cutt off points
sasa rudi kwenye maelezo yangu ya mwanzo
kuna dogo anataka MD ana BCC kwenye PCB... lkn vyuo vyote vya afya wanahitaji

01.chemistry na Biology ambapo anakuwa na 6

02.Ama ukichukua either chemistry or biology and physics anakuwa na saba

sasa ipi ni sahihi kwa vigezo vya udahili upande wa afya kati ya 01.ama 02.?
 
Kwa muongozo wa TCU wa mwaka huu wanataka masomo yote matatu yaunde cutt off points 8 na waka specify kabisa iwe angalau
Bios C,Chem C,Phy D
kwa maana hiyo dogo uyo ana Cut off points 10 amequalify vizuri sana
 
Kwa muongozo wa TCU wa mwaka huu wanataka masomo yote matatu yaunde cutt off points 8 na waka specify kabisa iwe angalau
Bios C,Chem C,Phy D
kwa maana hiyo dogo uyo ana Cutt off points 10 amequalify vizuri sana
basi nashukuru mkuu
 
hapo ni masomo matatu
kuhesabu wanafanya namna hii
A=5, B=4, C=3, D=2, E=1, S=0.5
kwahiyo hapo ukichukua alama uliyopata ukasum zote tatu ukiacha BAM na GS utapata point zako
kumbuka hata kama utakuwa na point nying ila huna atleast D mbil maana yake tayar huna sifa
kwa mfanao mtu mwenye AEE maana yake ana 5+0.5+0.5=6 lakini hana sifa za kujiunga na chuo kikuu maana hana atleast D mbili
Sio lazima atleast iwe D mbili. Hata A+E au B+E au C+E pia inafaa
1500187509006.jpg

Post sent using JamiiForums mobile app
 
n
asanteh.... maana yake mwenyewe CCC anakuwa na cut off point 9...

Hivyo mtu huyo anaweza soma course yenye uhitaji wa points nane?...
ndio anaweza kusoma
hongera kwake maana matokeo yake yanaweza kuimudu competition effectively
 
Habari

Eti tahasusi ipi ina cutting poin kubwaa kuliko zote
PCM, CBG, EGM au PGM
Na ina cutting point ngapi

Naomba kujua
 
Back
Top Bottom