Msaada wa kuepuka kuzimwa cm yako

Mr Dumila

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
271
537
Nimeongea na IT mmoja toka China, ni rafiki yangu sana. Kaniambia hata kwao simu feki zilikatazwa na wao hawakupewa miezi kama sisi, siku tatu tu! Zikazimwa.

Mtambo uliotumika kuzima simu hizo China unaitwa PVT au Phone Violence Tracer. Wale wanaoflash simu, wanajua napozungumzia kitu kinachoitwa box. Kina uwezo wa kukonekti simu kibao kwenye kompyuta moja.

Ukubwa wa mtambo huo umezidi kidogo tu box ya kuflash simu.

Kinachofanyika katika PVT ni kuifungua hiyo PVT na kutuma kitu kama Virus ambacho kitafanya violence ya kukata network kwa kila simu ambayo IMEI yake haiendani na aina ya simu.

Hata ukizima sim huyo virus (namuita hivyo) atapita na kushusha network ya simu yako.

Kwa maelezo ya huyo bwana, kwa China hamna aliyefanikiwa kugundua njia ya kuzuia virus huyo ndani ya siku tatu ila baadae waligundua.

Ni simple sana. Ikifika saa tano na dakika kadhaa kabla simu yako haijazimwa, toa line kwanza na memory card kama ipo na kama unameseji unazozipenda, hamishia kwenye line.

Toa betri kisha chomeka simu yako kwenye chaji. Jaribu kuiwasha. Ikiwaka ni bora zaidi. Iache kama dakika tatu.

Kabla saa sita haijafika, chomoa simu kwenye chaji, kisha katumbukize kwenye maji. Dakika 2 tu!

Itoa halafu usiifanye chochote hadi saa 6 ipite.

Kisha bila kuweka betri wala nini, chukua simu yako, kaweke kwenye mchele kwa saa moja.

Toa, weka betri. Njoo wasapu unishukuru.

It works 100%
 
sasa wananchi wamechanganyikiwa, mara majipu, bunge, sukari, kuzimwa simu,.. dah tutadata jaman...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom