Msaada wa Kudownload Video

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,228
Reaction score
4,200
Salamu Wataalamu.
Ninatumia W7 na Browser ya Mozilla Fox.
Kwa miezi zaidi ya Sita iliyopita nilikuwa natumia Program ya Video Download Converter kupakuwa Vido kutoka Youtube na kuzihifadhi kwenye Ltop yabgu.
Hata hivyo wiki iliyopita program hiyo ilinipa taarifa kuwa imecrash na baada ya kuinstall tena kila ninapojaribu kupakua Video kutoka Youtube inaniambia 'Not Suported'.

Ninaomba Wataalamu mnijulishe nifanye nini ili Video Download Converter ifanye kazi na pia ninaomba kujulishwa kama kuna program nyingine nzuri zaidi ya kupakua Video kutoka kwenye Youtube. Ukinitupia na Link yake Nitashukuru zaidi.

Ninatanguliza Shukurani.
 
Mkuu program rahisi utakayoweza kuitumia ni Internet download manager (IDM) ambayo ukigoogle utapata link utayoweza kuifata na kudownload (kama ni professional I be you know how to torrent). For the time being utaweza kuitumia kama trial version ka bla hujafanya crack ila uzuri kwamba ina autograb video, meaning kwamba ukifungua site yoyote automatically utaona button inatokea ambayo inakwambia download this video na utachagua quality unayotaka katika availabe options!
 

Asante Mkuu kwa Msaada wako huu. Ngoja nijaribu hii. Bahati mbaya mimim sio Mtaaluma sana wa haya mambo hivyo nitakushukuru sana ukipata nafasi ukanifafanulia hili la ku-torrent! Ninakushukuru. Na wengine je? Kuna mwenye Nyongeza?
 
haipo ina maana youtube wamefanya updates ndio maana kitu chako ulichotumia kudownload kinakataa ina maana hapo kuna matokeo mawili

1. ndo haitafanya kazi tena
2. au hio video download wametoa update ili ifanye kaz na youtube mpya.

hivyo hapo solution ni kuangalia kama kuna update ya hio software unayotumia kudownload.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…