King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,879
- 7,654
Hope wote ni wazima..
Kuna mdau alileta Uzi wa mambo ya programming nilivutiwa sana na Uzi wake na kuna kitabu nilikidownload kwa ajili ya kujifunza kinaitwa "computer programming for kids and other beginner". Sasa kuna kipengele nimefikia kinaniitaji nidownload python 2.5.,nimejaribu kudownload kupitia website yao (www.helloworldbook.com) nimeshindwa kabsa.
Naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie kuipata hyo kitu,niweze kutafuna nondo zangu