Msaada wa kudesign class AB PushPull Amplifier

Msaada wa kudesign class AB PushPull Amplifier

feelsam

Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
92
Reaction score
36
Habari Wana JF natumaini ni wazima,

Naomb niende kwenye point ya msingi. Nimesoma pdf za kudesign amplifier nimesoma class A amplifier nimeiyerewa na nime design yangu kwa project board imefanya kazi.

Sasa nilitaka sauti ikitoka kwenye class A amplifier ingie kwenye class AB pushpull nimeshindwa bahadhi ya mahesabu msaada tafadhari kwa wanaojua .Kama nitakua nimekosea niwieni radhi kwa kuchanganya elfu
images%20(1).jpeg
amp25.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ungeanza na kuintroduce hizo class maan watu walikwenda shule muda mrefu uliopita japokuwa ujuzi hauzeeki lakini huwa wanahitaji kukumbushwa kidogo.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Hongera Mkuu kwa kuwa na nia ya dhati ya kujifunza.

Ugumu uko wapi katika kutoa signal kwenye class A amp inayofanya kazi kwa 360 deg ya signal kuingiza kwenye class AB amp (push-pull inayofanya kazi kwa180 deg ya signal kwa kila transistor)?
 
Shida kubwa mahesabu Kwanza kuzi bias izo transistor npn pnp, npn naweza kuibias ila pnp nimeshindwa kiongozi
Hongera Mkuu kwa kuwa na nia ya dhati ya kujifunza.

Ugumu uko wapi katika kutoa signal kwenye class A amp inayofanya kazi kwa 360 deg ya signal kuingiza kwenye class AB amp (push-pull inayofanya kazi kwa180 deg ya signal kwa kila transistor)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Push-pull amp ni complementary pair ambayo pia symmmetrical, hivyo basi kama umeweza ku-bias NPN, fanya hivyo hivyo kwa PNP transistor. Yaani values za biasing resistor zifanane kwa NPN na PNP transistor.
 
Labda ungeanza na kuintroduce hizo class maan watu walikwenda shule muda mrefu uliopita japokuwa ujuzi hauzeeki lakini huwa wanahitaji kukumbushwa kidogo.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Kuna class A,B,AB,C.D. class zote izo zina toa efficiency tofauti na nyingine na pia ubora wa sauti zina tofautiana angalia izo picha apo chini
Screenshot_20191224-185410.jpeg
Screenshot_20191224-185417.jpeg
Screenshot_20191224-185355.jpeg
Screenshot_20191224-185505.jpeg
Screenshot_20191224-185619.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa umeweza ku-bias NPN transistor, weka schematic diagram yake kurahishisha kazi.
 
Naona kimya.
Mfano, kwenye mchoro wa class AB amp post #7, values za resistor inayo-bias NPN ifanane na inayo-bias PNP.
Lakini kumbuka ni basic schematic ya class AB push-pull, ambayo inaonyesha tu minimal output stage components. Practical amp itahusisha vitu vingi negative feedback loop kwa ajili ya stability, multi-stage transistor amplification, overload protection, DC protection, flters etc, ili amp iweze kuwa efficient na durable.

Kwa ujumla design process ya audio power amp ni complex na inahitaji kuanza na specifications na ku-design kutokea kwenye output stage backwrds to input stage, ikihusisha matumizi ya datasheet ya kila component utakayoitmia.
 
Kwa kuwa umeweza ku-bias NPN transistor, weka schematic diagram yake kurahishisha kazi.
Kwani chief kama ameweza kubias NPN si afanye alivyobias hiyo kwa ajili ya kubias PNP au kuna isipokuwa zinakuwa na output moja?

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Kwani chief kama ameweza kubias NPN si afanye alivyobias hiyo kwa ajili ya kubias PNP au kuna isipokuwa zinakuwa na output moja?

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Uko sahihi Mkuu. Nimeielezea kwenye post #6, ila kaomba mfano ndo nikamuomba atume mchoro wa design yake ili niutumie katika mfano. Ufafanuzi uko post #10
 
Uko sahihi Mkuu. Nimeielezea kwenye post #6, ila kaomba mfano ndo nikamuomba atume mchoro wa design yake ili niutumie katika mfano. Ufafanuzi uko post #10
Haya mambo nimeshaanza kuyasahau, tangu nitoke chuo ni miaka kama 14 sahv.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Haya mambo nimeshaanza kuyasahau, tangu nitoke chuo ni miaka kama 14 sahv.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Ujuzi hauzeeki Mkuu, ukifanya revision kidogo mambo yanatiririka.
Tunaomba uzoefu wako.
 
Ok.
  • Unaweza kutoa specifications za amp unayotaka kuunda? Eg Output Power(rms), output resistance
  • . Kwa kuwa unatumia power supply ya single voltage, inaweza kufanya kazi kwenye simulation, usitegemee kufanya kazi kwenye real world circuit, kwa kuwa hakutakuwa na supply voltage kwenye half-cycle ya conduction ya PNP transistor. Hivyo kutakuwa distortion kubwa kwa kuwa push-pull amp itatoa half-cycle ya NPN transistor tu.
 
Nataka nianze na 12watt amplifier mkuu
Ok.
1. Unaweza kutoa specifications za amp unayotaka kuunda? Eg Output Power(rms)
2. Kwa kuwa unatumia power supply ya single voltage, inaweza kufanya kazi kwenye simulation, usitegemee kufanya kazi kwenye real world circuit, kwa kuwa hakutakuwa na supply voltage kwenye half-cycle ya conduction ya PNP transistor. Hivyo kutakuwa distortion kubwa kwa kuwa push-pull amp itatoa half-cycle ya NPN transistor tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom