Msaada wa kuchora maumbo kwa kutumia microsoft excel au word

Msaada wa kuchora maumbo kwa kutumia microsoft excel au word

KACHINJA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,263
Reaction score
871
Naomba msaada wa jinsi ya kuchora maumbo ya hisabati kama vile miche duara,pembe tatu na n.k. Kwa kutumia microsoft excel au word.

Au application yoyote rahisi ambayo naweza kuitumia katika shughuli hiyo
 
Mbona kwa kutumia word ni rahisi sana Mkuu, just find 'draw table' utapata unachokitafuta. Otherwise tafuta mjanja wa computer hapo pembeni yako akuelekeze.
 
Back
Top Bottom