Msaada wa kuchanganya page number mbili tofauti kwenye document moja

Msaada wa kuchanganya page number mbili tofauti kwenye document moja

kabilili

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
50
Reaction score
4
Mimi ninatumia microsoft office 2007. Ninataka nianze page na Roman numerals mfano i,ii,iii... halafu page zitakazofuata zianze na namba za kawaida tu mfano 1,2,3....kwenye document moja. Mwenye ujuzi na hilo naomba anisaidie.
 
Back
Top Bottom