Msaada wa 'kubebwa' hostel Ustawi wa Jamii

hahahhh shemej uyu angekufaa ila nimeona watu wametoa thread zake za nyuma kuwa ni mwanaume sijui
duuh shemej tayari kishaumbuliwa? waongo wa siku hizi wepesi sana kusahau.
 
Si anasoma hizi comments basi ascreen shot vyeti vyake barua na matokeo yake nitamsaidia kumuombea kwa rafiki yangu asipofanya hivyo sitomwamini maana humu matapeli wengi
 
Toka 2007 wewe ni member wa JF, halafu unaenda chuo leo usoma Diploma...!

Acha urongo
 
Kwa kua yule ray nani sijui alikataa ombi langu,basi ntaanza rasmi kukufukuzia we mtoto mleta uzi,napenda sana kulaga 0713 zenu
 
Si anasoma hizi comments basi ascreen shot vyeti vyake barua na matokeo yake nitamsaidia kumuombea kwa rafiki yangu asipofanya hivyo sitomwamini maana humu matapeli wengi
Ngoja tumwambie alete picha zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…