Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,248
- 2,306
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naomba anaejua sehemu wanayobadilishia pesa ya republic of Dominica anisaidie maana nimejaribu kutembea kwenye maduka ya kubadilishia pesa (bureau de change) ya kariakoo Hadi airport nimeshindwa kabisa
Msaada naomba
Msaada naomba