Msaada wa kuasses google

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
904
Nina mb zakutosha lkn mtandao wa google,chrome playstore zinagoma kufunguka lkn ajabu nikuwa whatapps, instagram zipo sawa leo ni siku 3 nina ilo tatizo na hii ni line ni mpyaa sasa cjui nayo ni sababu?

Screenshot_20210204-210915_Chrome.jpg
 
Nina mb zakutosha lkn mtandao wa google,chrome playstore zinagoma kufunguka lkn ajabu nikuwa whatapps, instagram zipo sawa leo ni siku 3 nina ilo tatizo na hii ni line ni mpyaa sasa cjui nayo ni sababu? View attachment 1694725
Tatizo ni acess point names, sijui unatumia mtandao gani lakini au simu gani lakini nenda kwenye setting za network, tafuta access point names halafu badili.
Andika kwenye name: Internet na kwenye APN andika Internet ukianza na I kubwa hivyo hivyo.
baada ya hapo save na uchague kama access point ya kutumia.
Thanks
Airtel-Vodafone-Guernsey-APN-Settings-for-Android.jpg

Picha ya mfano, hapo kwenye name weka Internet na kwenye APN weka Internet, isipofanya kazi leta mrejesho.
Thanks.
 
Back
Top Bottom