MSAADA WA KUANZISHA WEBSITE

John mungo

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
1,008
1,023
Habari zenu wandugu,Mimi sijui chochote kuhusu maswala ya website Ila nina wazo la miaka mingi la kuendesha web ya kibiashara kama vile ya kukutanisha wauzaji Na wanunuzi mtandaoni ,(mfano mzuri kama hii website ya KUPATANA.COM).Hivyo naomba msaada WA kitaalam kufahamishwa kama nitafanikiwa kwa njia zipi Na nitahitajika kua Na nini labda, au vifaa gani. Natumai nime eleweka.
Nawasilisha ,na mungu awabariki.
 
Uta

Vifaa unavgotakiwa kuwa navyo
1.Simu
2.Pc au desktop

Pia utahitajika kununua huda zifuatazo
1.Hosting space ,kutakuwa na space,email acc,bandwith nk

2.Domain name jina la tovuti

3.Classified theme/script uwe na theme kama hauna coder ,uwe na script kama una coder

Zaidi ya hapo ni juhudi zako kwenye graphics na marketing pia kumbuka kusaijili brela

Kama unahitaj huduma yoyote kati ya hzo come inbox
 
Shukran sana nakuja inbox
 
Habari zenu wandugu,Mimi sijui chochote kuhusu maswala ya website Ila nina wazo la miaka mingi la kuendesha web ya kibiashara kama vile ya kukutanisha wauzaji Na wanunuzi mtandaoni ,(mfano mzuri kama hii website ya KUPATANA.COM).Hivyo naomba msaada WA kitaalam kufahamishwa kama nitafanikiwa kwa njia zipi Na nitahitajika kua Na nini labda, au vifaa gani. Natumai nime eleweka.
Nawasilisha ,na mungu awabariki.
Kupatana sio websites ni web system unahitaji upate IT kwenye system then maswala hayo ya hosting sijui domain ni maswala ya badae baada ya kutengeneza hiyo system karibu kwa utaalam zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha uoga kupatana ni very simple website sema hujajua tu mkuu haya mambo kiundani ambayo maskini yoyote anaweza kumiliki sema "uoga" wa kujaribu ndio tatizo
 
Mchawi wa hizo mambo ni osclass

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom