Msaada wa kuangalia movie you tube

Habari wadau, natumia window xp ila nashindwa kutumia you tube.msaada wenu

-Kuna message gani wanakupa youtube pale uliposhindwa kuview?

-au umeshindwa fika website ya youtube

Hebu elezea zaidi maana hapo inakua ngumu mtu kukusaidia
 
-Kuna message gani wanakupa youtube pale uliposhindwa kuview?

-au umeshindwa fika website ya youtube

Hebu elezea zaidi maana hapo inakua ngumu mtu kukusaidia

Kweli mkuu ni shida hata kwangu mimi natumia cm ya mkononi ina kila kitu ila wananipa sms inayodai ni download flash player! nisaidie mkuu!
 
Kweli mkuu ni shida hata kwangu mimi natumia cm ya mkononi ina kila kitu ila wananipa sms inayodai ni download flash player! nisaidie mkuu!

Usitumie www.(WEBSITE) m.(WAPSITE). pia una streaming settings kwenye simu yako.
Au download apps za kuangalizia YouTube.
UNGETAJA MODEL YA SIMU YAKO inge saidia kutoa ushauri wa kitaalamu zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom