MSAADA WA KUANDIKA PROJECT

Project zote zimeshaandikwa Nenda Stationary ukanunue tu uekewe jina lako ukaikabidhi shule

Acha kujisumbua Tanzania hakuna elimu ya kuvumbua bali kuna elimu ya kutafutia Ajira tu.

Mimi Sikujisumbua kusoma hata Siku moja.. Yaani sikuwahi kuacha kulala kwa ajili ya kusoma..

Project nilinunua nikabandika Jina langu tu,
Mtihani O-leven na A-Level nilikopia, Chuo nilinunua Mtihani, Research Nilinunua,
Mwisho wa Siku Niliajiriwa kwa Vyeti vyangu bila ya Kuulizwa nilivipata vipi..
Na sasahivi Ninakula bata pamoja na Waliokesha Kwa Masomo.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndiyo Mkuu! Kusoma ni Ulaya sio Afrika! Wewe umeona wapi Mhitimu Darasa la Saba yupo Makao Makuu ya Halmashauri eti ni Mratibu wa Wilaya wa (TB/HIV) anam-supervise mtu mwenye Bachelor (MD) ?

Hapo ndiyo ujue kuw Ulaya ndiyo kwa kusoma, Bongo tafuta Gamba tu la kuingilia kwenye System.

Muhimu Cheque Number isome

Mambo ya Project na Research waachie wazungu

Mimi Binafsi nishauza Project kama 15 kwa mwaka wa 2018 ambazo pia nilizinunua Stationary kwa ajili ya kuziuza.
 
Aseeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha aisee sasa uliitetea VIP iyo research chuo gani hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee umenichekesha sana, yani hutaki shida kabisaaaa
 
Hahaha aisee sasa uliitetea VIP iyo research chuo gani hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unaishi Karne ya Ngapi labda?

Nadhani kunasika utakuja kushangaa kukuta Makamanda wa Polisi Hususan hawa OCD na RPC wanavyeti Original kabisa vya kuzaliwa vikionesha wana umri wa miaka 48 ikimaanisha bado hawajafikia umri wa kustaafu lakini ukiwaangalia ni Wazee wa Miaka 70 ambao ndiyo umri wao halisi.
 
Jaman naomben msaada wa wa sumarry tu naona wote mna cheka kisa huyu muhishimiwa na tatzo jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…