PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
Habari za leo ndugu zangu, bwana Yesu asifiwe, salaam alekyum... Naomba msaada kwa yyte ambae anautaalam wa kuandaa katiba ya NGO ambayo itahusu maswala ya Dini(umisheni) na Kuisaidia jamii ya kimasikini(iliyopo kwenye mazingira mabaya na yasiyofikiwa kirahisi) naomba aje PM