Hii nchi ina vijana wa Ovyo sanaSiku mbili au miaka miwili?

Pure Point, nilifanya mchezo huo kwa miaka 10, Kila nikiamua kuacha wapii.. sikuweza ikawa ni kawaida kufanya kila siku.
Siku Moja nikaamua tu kuwa kuanzia leo sipigi nyeto wala nini, na siangalii video za ngono and co. sijui ata nisikie connection ya Mobetto wala siiangalii. Sasa nina siku ya 2 sijapiga nyeto!

Siku mbili mbona mapema sanaa yani hata ingekuwa mwezi..Yaani umefaidi weeeh! Umechoka! Leo hii eti ndiyo unaamua sasa kuwashauri wenzako nao waache! Ningekuwa kijana aisee huu ushauri wako nisingeukubali.Huu upuuzi nilishauacha mara baada ya kuona hasari zake.
Kiukweli punyeto inahasara nyingi sana kuliko faida hasa ukizingatia.
*Inavuruguga akili yaani mambo ya kupoteza kumbukumbu ni kawaida sana kwa muhanga wa mchezo huu.
*Kupoteza umakini na kushindwa kujiamini.
*Kubwa zaidi inaharibu mfumo mzima wa uzazi kwa mwanaume.
Kwa ufuupi tu ni mchezo mchafu sana ambao haufai kuigwa wala kufanyika.
-Nirejee kwenye mada.
*Jiepushe kuangalia picha za ngono.
*Fanya mazoezi ili kujiamarisha na kujiweka buzy.
Mwisho kabisa, mrejee Muumba wako kwa sala na toba naimani atakuvusha juu ya hili.
Kila la kheri mkuu.
Pure Point, nilifanya mchezo huo kwa miaka 10, Kila nikiamua kuacha wapii.. sikuweza ikawa ni kawaida kufanya kila siku.
Siku Moja nikaamua tu kuwa kuanzia leo sipigi nyeto wala nini, na siangalii video za ngono and co. sijui ata nisikie connection ya Mobetto wala siiangalii. Sasa nina siku ya 2 sijapiga nyeto!

Yaani umefaidi weeeh! Umechoka! Leo hii eti ndiyo unaamua sasa kuwashauri wenzako nao waache! Ningekuwa kijana aisee huu ushauri wako nisingeukubali.