Msaada wa kuacha punyeto

Msaada wa kuacha punyeto

Habari Wana jf Mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo Hadi sasa huku nikifikiri kua ndio njia sahihi yakutokufanya zinaa sasa umri unakwenda tatizo kubwa nililo nalo siwez kumtongoza kwanamke,Sina ham ya tendo landoa,nikifanya mapenzi sichukui muda hata wa dk10 tayari nimemwaga MSAADA TAFADHALI
Kukojowa chini ya dakika kumi ndio kawaida kaka. Kwani wee unataka bao ulitafuta nusu saa nzima
 
Inatakiwa niache nikiwa na umri gani...?
 
Huu upuuzi nilishauacha mara baada ya kuona hasari zake.

Kiukweli punyeto inahasara nyingi sana kuliko faida hasa ukizingatia.

*Inavuruguga akili yaani mambo ya kupoteza kumbukumbu ni kawaida sana kwa muhanga wa mchezo huu.

*Kupoteza umakini na kushindwa kujiamini.

*Kubwa zaidi inaharibu mfumo mzima wa uzazi kwa mwanaume.

Kwa ufuupi tu ni mchezo mchafu sana ambao haufai kuigwa wala kufanyika.

-Nirejee kwenye mada.

*Jiepushe kuangalia picha za ngono.

*Fanya mazoezi ili kujiamarisha na kujiweka buzy.

Mwisho kabisa, mrejee Muumba wako kwa sala na toba naimani atakuvusha juu ya hili.

Kila la kheri mkuu.
Nashkuru sana mkuu nimekuelewa
 
Habari Wana JF mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo hadi sasa huku nikifikiri kuwa ndio njia sahihi ya kutokufanya zinaa sasa umri unakwenda tatizo kubwa nililonalo siwezi kumtongoza mwanamke, Sina hamu ya tendo la ndoa, nikifanya mapenzi sichukui muda hata wa dk 10 tayari nimemwaga MSAADA TAFADHALI
Ukifanya mapenzi huchukui zadi ya dakika 10, lakini wakati huo huo huna hamu ya kufanya mapenzi..!!!??? MBONA KAMA UNAJIPINGA?
 
Habari Wana JF mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo hadi sasa huku nikifikiri kuwa ndio njia sahihi ya kutokufanya zinaa sasa umri unakwenda tatizo kubwa nililonalo siwezi kumtongoza mwanamke, Sina hamu ya tendo la ndoa, nikifanya mapenzi sichukui muda hata wa dk 10 tayari nimemwaga MSAADA TAFADHALI
Kimsingi kuacha Nyeto inawezekana kabisa lakini usidanganywe saaaana, fanya haya..
1.Epuka kukaa peke yako hasa kulala chumbani mchana
2.Pendelea kutumia muda mwing/wote kushirikiana na vijana wenzio katika Mazoezi na shughur zingine za michezo
3.Usikate tamaa jaribu anza kwa kupunguza idadi ya upigaj mwisho utaacha kabisa, na ukianguka ukarudia jipe nafasi nyingine rudia mtihani
3.Tafuta Kadem asee, Mbadala wa nyeto ni Mpenz na uwe mpenz mtumiaji siyo mpenzi mtazamaj, Na umeet nae angalau 3 times per week.

#Tafuta Kadem, Ukipata vingi itasaidia zaidi ili kuepuka zile Oooh Mama alinambia nioshe vyombo.
 
Kuacha punyeto kunatoka moyoni na wala sio ishu ya mazoezi, ubize nk. Kama hujaamua kuacha utajiiba ha choo cha kazini upige nyeto.

We jiambie tu kuanzia leo sitopiga, maneno yatoke moyoji kabisa kua umwacha, acha kuangalia porn au kama una account insta,whatsapp au telegram inayokushawish kufanya ivo jitoe kote huko.

Ila kama huwezi kabisa basi walau piga mara 1 kwa wiki na sio kila siku.
😀 😀 😀angalau mara moja kwa week
 
Habari Wana JF mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo hadi sasa huku nikifikiri kuwa ndio njia sahihi ya kutokufanya zinaa sasa umri unakwenda tatizo kubwa nililonalo siwezi kumtongoza mwanamke, Sina hamu ya tendo la ndoa, nikifanya mapenzi sichukui muda hata wa dk 10 tayari nimemwaga MSAADA TAFADHALI
1.Kwanza kabisa futa picha zote za uchi kwenye simu yako ,2. acha kuangalia movie zenye maudhui ya ngono,3.Mwombe Mungu sanaa(pray hard)4.Fanya mazoezi 5.Acha kusema hi nyeto ni ya mwisho hakunaga kitu kama hcho huyo n shetani anakushauri hvyo mwisho kabisa mcheki @drdaudi wilson on instagram,atakusaidia sanaaa hakika utakuja kunishukuru sana NB:KILL PORN BEFORE IT KILL YOU.
 
Nyeto ni muhimu Sana pia ni mbaya sana. Jichunguze kwanza kwamba upo upande upi.

Binafsi nipo upande ambao nyeto naona ni ya muhimu (naenda zero, once or twice per week). Kama upo single na huna uhakika wa kupata papuchi kwa mwezi hata mara 3 tu, piga nyeto Mzee.
 
Khaaaii, Uhakika wa kupata..... Unaukosaje a real man angalau kwa mwez? Timba Shelly ya usiku acha ubwege
 
Habari Wana JF mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo hadi sasa huku nikifikiri kuwa ndio njia sahihi ya kutokufanya zinaa sasa umri unakwenda tatizo kubwa nililonalo siwezi kumtongoza mwanamke, Sina hamu ya tendo la ndoa, nikifanya mapenzi sichukui muda hata wa dk 10 tayari nimemwaga MSAADA TAFADHALI
Gawa 0719, utaacha tu
 
Endelea kuchovyachovya hilo buyu la asali mwishowe ubaki na mzinga mkavu 😁

Usione nakucheka ila elewa msaada unao mwenyewe ndani yako
 
Back
Top Bottom