kaisar19
JF-Expert Member
- May 24, 2021
- 228
- 391
Habari Wana JF,
Mimi Ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24 nikiwa na umri wa miaka 19 niliingia katika mkumbo wa kupiga punyeto nikajikuta nimezama humo hadi sasa huku nikifikiri kuwa ndio njia sahihi ya kutokufanya zinaa.
Sasa umri unakwenda tatizo kubwa nililonalo siwezi kumtongoza mwanamke, Sina hamu ya tendo la ndoa, nikifanya mapenzi sichukui muda hata wa dk 10 tayari nimemwaga MSAADA TAFADHALI