Habari wana JF nimeletewa simu kutoka ughaibuni Sharp sidekick (T MOBILE) sasa nikiweka sim card za hapa tz inaniandikia Enter code to enable SIM card, JE hizo code ni zipi na ntazipataje?Naombeni mnisaidie kwa hili.
Asante
ok fanya hivi uko dar or?kama uko dar nenda lumumba na pemba ukiacha tu jengo la kwanza kuna duka liko pale nenda na elezea tatizo hili lazima watakusaidia poa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.