calvinpower au yoyote naomba msaada,
>>nilikua nataka unlock modem ya vodacom (vodafone k3565z na vodafone k3565)
>>pia modem ya TTCL (Huawei EC121)
nimekwisha jaribu program kadhaa za ku-unlock modem but hizo hapo juuu nimeshindwa tofauti na modem za zain (E1550) ambazo naona kama ni rahisi ktk unlocking kwasababu hazijanisumbua kabisa,yoyote anaweza kunisaidai mawazo,
hiyo ya TTCL ni CDMA inafunguka mkuu ila utatumia kwenye mitambo ya CDMA tu. na si GSM...mkubwa calvin power hiyo ya vodafone cna hapa,niliamua kuigawa kwasababu nilishindwa kuifungua,lakini nitakutumia hizo namba nikiichukua tena,and vipi kuhusu hiyo ya ttcl,and nimewahi kusikia watu wanasema kwamba modem za CDMA hazifunguki hata kidogo,only 3G modems can be unlocked!!!!!!!by your experience,is that true?or mwana jf yoyote anaweza kutusaidia hilo!
Here!!!!! https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=18823&d=1292807814stay tuned for more information later.
Here!!!!! https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=18823&d=1292807814
Need we say more?
View attachment 18824
hiyo ya TTCL ni CDMA inafunguka mkuu ila utatumia kwenye mitambo ya CDMA tu. na si GSM.
modem hiyo unaweza kutumia file lifuatalo kui unlock. ila inakua ni temporary unlock. kila unapoichomoa au kuzima komputa inakubidi urudie kui unlock ijapokuwa inachukua sekunde 5 tu kufanya hivo.mi naomba ndugu zng mnisaidie jinsi ya kuchakachua modem ya airtel.modal E153u-2 na s/n:BAA4CA1130704738 na IME ni 352374043688426 ili iweze kutumia line zantel au tigo.msaada wenu ni faraja sana kwng.asanteni
Wakuu naombeni mtusaidie jinsi ya kujua hizo serial no maana wengine tumeshapoteza risiti lakini tunahitaji kuchakachua.
modem hiyo unaweza kutumia file lifuatalo kui unlock. ila inakua ni temporary unlock. kila unapoichomoa au kuzima komputa inakubidi urudie kui unlock ijapokuwa inachukua sekunde 5 tu kufanya hivo.
link ya file ni : Huawei Modem Unlocker by bojs 5.8.1.exe
i hope litakusaidia
Msaada ku unlock modem ya voda
Model. K3571-z
IMEI. 359 591 035 072 284
WanaJF nawaomba msaada kupata unblock code ya modem yangu.
Model: E1550
IMEI: 3529 6504 3912508
Natanguliza shukurani