Habari zenu wakuu naomba uliza je kuna uwezo wa ku access internet labla ya kazini nikiwa nyumbani.
Namaanisha nkafanya configuration katika computer ya ofisini na kuja na ya nyumban fanyia configuration.
Je ni vitu gani vinaitajika ili fanikisha ilo na ombeni msaada mana nmesikia linawezekana.
ASANTENI