msaada wa ku transfer internet

msaada wa ku transfer internet

ulekwe

Senior Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
197
Reaction score
176
Habari zenu wakuu naomba uliza je kuna uwezo wa ku access internet labla ya kazini nikiwa nyumbani.
Namaanisha nkafanya configuration katika computer ya ofisini na kuja na ya nyumban fanyia configuration.
Je ni vitu gani vinaitajika ili fanikisha ilo na ombeni msaada mana nmesikia linawezekana.
ASANTENI
 
ofisini kwenu wana aina gani ya internet conection
 
Tuna fiber ya mkongo wa taifa
 
inategemea na umbali, kama ni ndani ya mita 100 unaweza ila kama ni mbali sana cost yake itakuwa kubwa kama vile na wewe unafungua mtandao wako wa simu
 
Back
Top Bottom