Msaada wa ku track simu

Polisi ovyo tu niliibiwa cm maeneo ya mtongani nikaenda polisi mchakato walionipa niliamua kusamehe tu
 
Umeiset wakati umeweka pin

Wakiiba cha kwanza ni hard reset
Pili ni kuweka google adress mpya, hutoiona tena
Haina pin..siwekag pin kabisa mana unamshawish mwiz ku wipe simu

So far ukiwa na root access hata awipe kaz bure..labda aweke rom mpya
 
Wakuu naamin mpo fresh kabisa..

Bila kupoteza mda,last wiki kuna vibaka walikuja kuiba ,walifanikiwa kuiba vitu mbali mbali vya thaman.
Sasa katika kuiba kwao wakaiba na simu ya dogo ilikua charge usiku..ni tecno y3

Sasa wale vibaka inaonekana ni washamba kwa maana ile simu hawaja restore hadi leo hii,nimetumia google divice manager niafanikiwa kuiona simu ikiwa connected kweny mtandao tangu siku waliyo iba.

Sasa nakwama sehemu moja, ninapotaka ku locate location nashindwa kwa maana location haikuwa on kipind simi inaibiwa.

Sasa naomba Kujua nitawezaje ku washa location remotely? Kama haiwezekan basi nitumie njia ipi kumnasana huyu mwiz anaetumia simu..
Imei namba nimeipata ninayo hapa..na kila siku simu lazima niikute online nikitumia device manager...

931ed451cfd913a119babef7f4c00bb2.jpg
mpaka uwe unajua ime yake unatrack kwa kali linux mkuu
 
mpaka uwe unajua ime yake unatrack kwa kali linux mkuu
Imei nimeipata mana details zote za simu zipo kweny google dashboard..hivyo imei yake nayo ninayo

Sasa hapo kwa kutumia kali linux naomba unisaidie if possible
 
Imei nimeipata mana details zote za simu zipo kweny google dashboard..hivyo imei yake nayo ninayo

Sasa hapo kwa kutumia kali linux naomba unisaidie if possible
nenda google kaangalie how to use kali linux to track ime of phone
 
Hapo njia ni nying,unaweza weka on kawaida tu, au ukatumia app kama Avg,lookout, au kam ni Samsung nafkir inakua rahis kweny issue ya location..zipo app nying sana especially ukiwa na root access inakua poa sana
Nielekeze upande wa Samsung nitumie app mkuu maana mwizi hana rafiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom