Msaada wa ku track simu

Msaada wa ku track simu

Y3
We nunua nyingine tuu ndugu
Soma uzi tena...hakuna mwenye shida ya y3,shida ni kumpata mwizi alieiba vikubwa zaid ya y3..jifunze kujiongeza,siku ukiibiwa wewe utakumbuka huu uzi.
 
Pole sana mkuu,mimi sijui chochote nikiibiwa nalia nanyamaza basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom