Msaada wa ku track simu

Msaada wa ku track simu

Walec

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,364
Reaction score
3,400
Wakuu naamin mpo fresh kabisa..

Bila kupoteza mda,last wiki kuna vibaka walikuja kuiba ,walifanikiwa kuiba vitu mbali mbali vya thaman.
Sasa katika kuiba kwao wakaiba na simu ya dogo ilikua charge usiku..ni tecno y3

Sasa wale vibaka inaonekana ni washamba kwa maana ile simu hawaja restore hadi leo hii,nimetumia google divice manager niafanikiwa kuiona simu ikiwa connected kweny mtandao tangu siku waliyo iba.

Sasa nakwama sehemu moja, ninapotaka ku locate location nashindwa kwa maana location haikuwa on kipind simi inaibiwa.

Sasa naomba Kujua nitawezaje ku washa location remotely? Kama haiwezekan basi nitumie njia ipi kumnasana huyu mwiz anaetumia simu..
Imei namba nimeipata ninayo hapa..na kila siku simu lazima niikute online nikitumia device manager...

931ed451cfd913a119babef7f4c00bb2.jpg
 
Ulikosea tyuu, kwenye location Mkuu, pole sana ..ngoja waje wakuu tuone
Ndio hivyo mkuu..simu ya dogo

Ila hii yangu hapa nimeshaiset kabisa hata ikiibiwa najua jinsi ya kupata..ngoja niwasubir wakuu
 
Ndio hivyo mkuu..simu ya dogo

Ila hii yangu hapa nimeshaiset kabisa hata ikiibiwa najua jinsi ya kupata..ngoja niwasubir wakuu
Mkuu una set vipi location au inabidi simu mda wote gps uwe umeweka on?
 
Mkuu una set vipi location au inabidi simu mda wote gps uwe umeweka on?
Hapo njia ni nying,unaweza weka on kawaida tu, au ukatumia app kama Avg,lookout, au kam ni Samsung nafkir inakua rahis kweny issue ya location..zipo app nying sana especially ukiwa na root access inakua poa sana
 
Si uende polisi mkuu, wanakamatwa na vyote wanalipa
Daah polisi alienda mzee wangu ila naona kama wanamzungusha sana..ila ndio tunawasklzia pia..
 
Ni just arount 110k mpka 95k unapata hizi hapa ni kweli bora fogo wake atagute nyingine tu
Mkuu haijaibiwa simu pekee...simu ndio njia ya kupata vitu vingine walivyo iba...vitu vilivyo ibwa thamani inafka had 5M mkuu...
 
Ma.tako yenu!baada yq kuelekeza mwizi abambwe mnaleta hoja mavi mavi hapa?anaejua aelekeze wengine fungeni midomo yenu ..er..kunjeni vidole vyenu watu tumeiviwa na tumekwama hapo hapo kwenye location !oh my S4!
 
Ndio hivyo mkuu..simu ya dogo

Ila hii yangu hapa nimeshaiset kabisa hata ikiibiwa najua jinsi ya kupata..ngoja niwasubir wakuu


Umeiset wakati umeweka pin

Wakiiba cha kwanza ni hard reset
Pili ni kuweka google adress mpya, hutoiona tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom