Msaada wa Ku-log in JF kwa simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Ku-log in JF kwa simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Maamuma, Nov 24, 2009.

 1. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wapendwa, nimekuwa niki-log in JF kwa kutumia simu yangu Nokia 6233 lakini kwa wiki 3 sasa siwezi kulog in. Ile link ya kulog in hainipi ruhusa ya kufanya hivyo. Au kuna kitu natakiwa kufanya? Naomba msaada maana simu ndo ninayo saa zote, computer mpaka niombe kwa jirani hadi nnakuwa kero.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu upo voda? download operamini, nenda www.operamini.com halafu click kwenye download haichukui dk 5 itakuwa tayari,i save kwenye simu yako halafu kwenye address bar weka www.jamiiforums.com itafunguka tuu
   
 3. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushauri nunua Apple I phone, Hutahangaika tena kwenye Laptop au Computer !!
   
 4. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu Chimunguru asante sana. Ndio niko voda. Nimejaribu ku-download, ikakubali na ikasave, lakini ninapotaka kuifungua inasema "error" katika ku-connect na internet. Ntaendelea kujaribu. Again, thanks.
   
 5. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu Tongue blister, nashukuru kwa ushauri. Ila Mkuu kwangu ni ngumu kidogo, niko kijijini yaani kupata habari za mjini naitegemea sana JF. Kwa vitu kama Apple I ni ndoto. Maduka yetu nadhani unayajua, hayana vitu vya kisasa. Labda niagize jamaa walioko mjini. Inauzwa bei gani?
   
Loading...