Msaada wa kiufundi wa gearbox auto

Msaada wa kiufundi wa gearbox auto

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wana jf naamini tatizo langu litapata ufumbuzi hapa nina gari lenye gearbox auto linanisumbua, halibadili gear zote mwisho ni gia nne tu na ya nne huingia kwenye mtelemko lkn pia nikikanyaga mafuta gia inatoka na kurudi tatu, kingine cha ajabu ni kwamba hata nikiweka driving2 au L haina tofauti yoyote kati ya D 2 L gari inaweza kwenda hadi speed 80 rpm 4000 bila kubadili gia sijui nitatizo gani naomba msaada
 
mkuu kabla ya yote inabidi ukutane na fundi umeme?? vipi ni gari aina gani mkuu?? je unapoweka au washa au unapo endesha taa ya o/d huwa inaflush some code kama huwa ina flush ni mara ngapi?? je ww upo wapi?? mkoa gani kama upo dar ni pm
 
Wana jf naamini tatizo langu litapata ufumbuzi hapa nina gari lenye gearbox auto linanisumbua, halibadili gear zote mwisho ni gia nne tu na ya nne huingia kwenye mtelemko lkn pia nikikanyaga mafuta gia inatoka na kurudi tatu, kingine cha ajabu ni kwamba hata nikiweka driving2 au L haina tofauti yoyote kati ya D 2 L gari inaweza kwenda hadi speed 80 rpm 4000 bila kubadili gia sijui nitatizo gani naomba msaada

Nafikiri Ramthods atakusaidia....https://www.jamiiforums.com/private.php?do=showpm&pmid=161348
 
Uko Mkoa gani? Piga nambari hii na shida yako itakuwa imeng'atuka!

0715745030
 
service kwa gari za auto kwa muda wake ni muhimu sana.kaifanyie servic na akikisha gearbox oil iwe ni ya gari za auto.
 
Back
Top Bottom