Msaada wa Kiufundi unahitajika

Petro Oswald

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
2,323
1,713
Habari za Asubuhi Wakuu. Naomba niende kwenye Mada haraka haraka, ni kwamba nina printa ndogo ya ofisini aina ya Canon Selphy CP 1000 naitumia kwaajili ya kuprinti Passport Size, inatatizo la kutoa mstari kwenye paper ambayo imeshaprintiwa tayari, tatizo ambalo huko nyuma halikuwepo.

Msaada tafadhali.

20200521_104142.jpg


Sent using Samsung J1
 
Troubleshoot kisha jaribu tena, likiendelea angalia Pressure roller na fuser hizi mbili zinasababisha sana hilo tatizo
 
Kama kuna drum, head jaribu kusafisha. Fanya self troubleshooting au Calibration itakuwa sawa

Au mnasemaje mods wa JF
 
Back
Top Bottom